Namna ya kubadili wafuasi (followers) wako kwenye mitandao ya kijamii kuwa wateja

Namna ya kubadili wafuasi (followers) wako kwenye mitandao ya kijamii kuwa wateja

youzam

Member
Joined
Apr 9, 2020
Posts
19
Reaction score
21
Mitandao ya kijamii ni muhimu sana katika kukuza biashara mbalimbali. Kuna njia nyingi za kufanya promosheni ya bidhaa au huduma zako, na miongoni mwa hizo ni matangazo ya kulipia.

Lakini unaweza pia kupata wateja wengi kama ukitambua ni namna gani ubadili wafuasi (followers) wako kuwa wateja bila malipo yoyote.

Kiambatanisho kwenye chapisho hili kitakuwezesha kufahamu ni namna gani utaweza kubadili wafuasi wako kuwa wateja.

Kila lakheri.
 

Attachments

Back
Top Bottom