Felix Mwinami
Member
- Aug 12, 2019
- 24
- 17
Samahani wakuu nawezaje kubadili lugha kwenye dshbord ya premio?? nimeambatanisha picha ya ninachomaanisha kwa msaada zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo Kuna option mbili tu hakuna janja janja namba moja upate mtaalamu mwenye softwear aboot itakaa sawa upande wa language second option badili radio tu uweke android huo ndio ushuri wanguSamahani wakuu nawezaje kubadili lugha kwenye dshbord ya premio?? nimeambatanisha picha ya ninachomaanisha kwa msaada zaidi
View attachment 2167124