Uchaguzi 2020 Namna ya kudhibiti uwepo wa vituo hewa/bubu vya kupigia kura katika uchaguzi mkuu - 2020

Hata hivo vituo hewa vinaweza kuwa na mawakala wa ccm na fomu zao kabisa
 
2. Kila mgombea ahakiki uwepo wa vituo hivyo kimoja baada ya kingine katika kata yake...
Nadhani hii ndo njia Bora ya kwanza. Kila mgombea wa udiwani na ubunge afike kwa kila kituo physically, sio kuhadithiwa. Vituo hewa huwa havipo popote ila vipo kwny makabrasha ya wezi wa kura. Kwa njia hii watavibaini tuu
 
Nadhani hii ndo njia Bora ya kwanza. Kila mgombea wa udiwani na ubunge afike kwa kila kituo physically, sio kuhadithiwa. Vituo hewa huwa havipo popote ila vipo kwny makabrasha ya wezi wa kura. Kwa njia hii watavibaini tuu
KULE AMBAKO CCM WALISHIRIKIANA NA NEC KUNYOFOA MAPEMA WAGOMBEA WA CHADEMA ITAKUWAJE?
 
Sasa naan
Sasa naanza kuelewa ni kwa nini walikuwa hawataki kutoa nakala za matokeo kwa mawakala
 
Nadhani hii ndo njia Bora ya kwanza. Kila mgombea wa udiwani na ubunge afike kwa kila kituo physically, sio kuhadithiwa. Vituo hewa huwa havipo popote ila vipo kwny makabrasha ya wezi wa kura. Kwa njia hii watavibaini tuu

Yes, huku akiwa na orodha yote rasmi ya vituo hivyo iliyotolewa na NEC katika kila kata au jimbo..

Vituo hewa siku zote havimo kwenye orodha rasmi ya NEC bali huandaliwa na wasimamizi wa uchaguzi wa majimbo huku NEC wakiwa na ufahamu huo na hivyo hubariki uharamia huo..
 
Kama mnalijua hilo kwanini sasa wapinzani mnakubali kuendelea na uchaguzi?
majuto ni mjukuu!

Kwa kuwa simba ni mnyama hatari mla nyama na ikitokea ameingia zizini kula ng'ombe au mbuzi wako..

Je, utasusa na hutachuchua hatua ya kumfukuza na ikibidi kumuua kabisa eti tu kwa sbb simba ni hstari na ni mla nyama?

Kama utasusa na kumtazama tu akiua wanyama wako mmoja baada ya mwingine, basu hakika kabisa wewe utakuwa ni mwendawazimu..!

Najua umenielewa na kama hujaelewa, sijui nikusaidieje ili uelewe..!;
 
Umesema vyema kabisaa watu wanahasira na ile roho ya WoGa hamna.

Nimeshuhudia maeneo Mengi watu wanasubiri polisi walianzishe watu wajibu mapigo.

Nashauri CCM waibe Kura kistaarabu sio kuiba wazi wazi italeta machafuko.
Mkuu mi sijui kipo kwenye Siri ya uongozi, we chunguza kuanzia kwenye wenye viti wa mtaa mtu akiingia hatamani toka, sijui ni afrika tu au na kwa wenzetu kwanini watu hutumia nguvu Sana baki badarakani,
Niliwai ona mwenyekiti wa Kijiji huko Tanga ,huyu bwana aliuza maeneo mengi ya Kijiji,alitafuna pesa nyingi za mnara wa sim zilizokua zinalipwa kwenye Kijiji, Sasa inasemekana alikua halali Kila kukicha ni kwa waganga asiachie hicho kiti ,yeyote alietokea kukitaka hicho kiti alipambana nae kwa Kila namna mpaka iliperekea kugawa Kijiji
Sasa najiuliza kwa Nini mtu akiwa kiongozi kwa Nini kuachia ngazi unakua mtiani,mpaka wavutane na mwisho wa siku unatoka na fedhea,
 
Haya maneno kama ya Amsterdam kupitia kwa Lissu na ninyi mnayarudia humu mara wa mara kwa NIA OVU! Ngoja niwaambie kuwa hayo ni maneno ya mtu aliyeshindwa kama wafanyavyo wagombea urais huko USA, wakidai kuwa nchi za nje zinaingilia uchaguzi wao. Kila mmoja ana hofu ya kushindwa, kama Lissu, hivyo wanatafuta VISINGIZIO, kama ninyi na Lissu! Halafu msidhani kwa kusema maneno hayo kuna mtu anatishika. Hatishwi mtu hapa, ije mvua lije jua, aje Amsterdam, aje Bob,kipigo maridhawa kiko palepale. Check me on 29th or 30th October, 2020!
 
Yule aliyetamani kuwa malaika mkuu Mungu ememfanya kuwa shetani mkuu
 
Akina Nyerere na wenzake wangekuwa na akili kama hiyo, uhuru wa mwanzo toka kwa wakoloni weupe usingepatikana
Nyerere aliwekwa pale kwenye nafasi ya kupigania uhuru na watu waliokuwa makini.
sio wajanja wajanja kama Mbowe na Swahiba wake Mrema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…