"If your eye be single, your whole body will be full of light." (Mathayo 6:22)
Jicho la Tatu ni Mlango wa Uumbaji. Unapoliona Nuru ya kweli, unaweza kuumba maisha ya kweli.
Ukikutana na mwanamke mrembo sana huwa unajisikiaje?Amani iwe nawe,... Samahan, Energy za watu ni nini? Na kuna aina ngapi za energy za watu. Zieleze kwa ufupi na ufasaha ili nijue kama tayari nisha fungua jicho la tatu
Mwili kuwa na tamaa ya kutaka kuutazama huo uzuri wakeUkikutana na mwanamke mrembo sana huwa unajisikiaje?
Hiyo ndio energy.Mwili kuwa na tamaa ya kutaka kuutazama huo uzuri wake
Amani iwe nawe pia.Amani iwe nawe,... Samahan, Energy za watu ni nini? Na kuna aina ngapi za energy za watu. Zieleze kwa ufupi na ufasaha ili nijue kama tayari nisha fungua jicho la tatu
Yaani Huyo mrembo aniambie nifungue jicho lake la 3?..Ukikutana na mwanamke mrembo sana huwa unajisikiaje?
Mdau ameuliza energy ni nini. Ni vibrations au vibes.Yaani Huyo mrembo aniambie nifungue jicho lake la 3?..
Wachache nndo watakuelewa labda umwambie ni ile hali ya mtu kusema fulani nikikutana naye moyo wangu unakosa amani na vivyo hivyo mwingine unapata amani hutaki hata aondoke au unaweza kusoma mod za watu kwa kumuungalia mtu unajua anaumwa au hana raha kufili sononeko la mtu anapokuwa anakuelezea habari yake inayomtesa....na mengine kama hayoAmani iwe nawe pia.
People's Energy ni nishati ya watu, Kwa kiswahili cha mtaani tunaita vaibu (vibes) kuna low vibe au high vibe, kuna nishati chanya na nishati hasi.
Kama mtu alivotangulia kukuliza hapo juu.
Kuna mtu ukikutana nae unakua na vibe nae na mwingine anakukata stimu kabisa. thats people energy
Chupa ndogo (10ml hadi 15ml)Ehe unayauzaje???
Ova
Sawa sawaChupa ndogo (10ml hadi 15ml)
Bei ya kawaida: Tsh 20,000
Ila yanafika ad 70,000 Kwa chupa kubwa zaidi 15ml