mtaliban_og
Member
- Sep 14, 2021
- 8
- 3
Wakuu naomba msaada namna ya kufuta leseni ya ukandarasi wa uneme isiwepo kabisa. Ni leseni ndogo ya fundi wa kawaida wa wiring.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nikisha log in nafanyaje mkuuIngia kwenye website ya ewura
Unapotezea tu na kusonga mbele na mambo mengine.Wakuu naomba msaada namna ya kufuta leseni ya ukandarasi wa uneme isiwepo kabisa. Ni leseni ndogo ya fundi wa kawaida wa wiring.
Unatusumbua bananikisha log in nafanyaje mkuu