Namna ya kufuta umasikini tanzania overnight

Sabi Sanda

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
409
Reaction score
31
Kwenu Watanzania Wote,

Ili tuweze kufuta umasikini Tanzania ndani ya siku moja, BUNGE letu lijalo litakaloanza kikao chake siku ya Jumanne ya tarehe 26/01/2010 lipitishe Azimio na Sheria na kuiagiza Serikali yetu kuwa THAMANI YA EKARI MOJA YA ARDHI Ya Nchi Yetu Popote Pale Ilipo ni Dola za Kimarekani Milioni Moja kuanzia tarehe 01/02/2010.
 
Na wewe ukiitaka itakuwaje?
 
okay...duh! Nadhani ungefafanua zaidi mh. How will this be different from printing more money?
 
Recession imesababisha MACHIZI waongezeke mitaani.
 
Kwenu Watanzania Wote,

Ili tuweze kufuta umasikini Tanzania ndani ya siku moja, BUNGE letu lijalo litakaloanza kikao chake siku ya Jumanne ya tarehe 26/01/2010 lipitishe Azimio na Sheria na kuiagiza Serikali yetu kuwa THAMANI YA EKARI MOJA YA ARDHI Ya Nchi Yetu Popote Pale Ilipo ni Dola za Kimarekani Milioni Moja kuanzia tarehe 01/02/2010.

Narrow thinking; think big poor Sabi!
Money alone, whatever the amount, cannot eredicate poverty man!
Dig down deep.
 
Hata mimi nipo skeptical na approach ya huyu mhishimiwa.

Hakuna nchi duniani inayoweza kulala maskini na kuamka tajiri, labda kama tuna-adapt definitions mpya za maneno haya mawili, umaskini na utajiri.

Nijuavyo, maendeleo hupangwa, mipango hutekelezwa na kuendelezwa, kuboreshwa na kusimamiwa. Bila hivyo ni kujidanganya.
 
Kwenu Watanzania Wote,

Ili tuweze kufuta umasikini Tanzania ndani ya siku moja, BUNGE letu lijalo litakaloanza kikao chake siku ya Jumanne ya tarehe 26/01/2010 lipitishe Azimio na Sheria na kuiagiza Serikali yetu kuwa THAMANI YA EKARI MOJA YA ARDHI Ya Nchi Yetu Popote Pale Ilipo ni Dola za Kimarekani Milioni Moja kuanzia tarehe 01/02/2010.

Mkuu uko serious? Ni sawa na nisema Carina yangu naiuza for $200,000.
 
Jaribu kuangalia Neil Fergusson alivyodescribe "The El Dorado" phenomena katika "The Ascent of Money". Pia jaribu kuangalia "The Wealth of Nations" cha Adam Smith.

Hela peke yake bila ya uzalishaji ni makaratasi tu.

Ukipandisha bei ya ardhi, wawekezaji watashindwa kuja kuwekeza kwa sababu nchi jirani ardhi zao zitakuwa comparatively very cheaper, watapata Adam Smith anachokiita comparative advantage kwenye investment.

Pia kutakuwa na inflation ya ajabu, kila mtu atakuwa na mamilioni ya dola, kutokana na sheria za demand and supply, bei za vitu zitapanda, kilo ya mchele itafika hata dola 1000.

Katika kutafuta maendeleo lazima uzalishaji uwepo, vinginevyo unaenda kwenye ma Ponzi schemes na ma stock market crashes.
 
Kwenu Watanzania Wote,

Ili tuweze kufuta umasikini Tanzania ndani ya siku moja, BUNGE letu lijalo litakaloanza kikao chake siku ya Jumanne ya tarehe 26/01/2010 lipitishe Azimio na Sheria na kuiagiza Serikali yetu kuwa THAMANI YA EKARI MOJA YA ARDHI Ya Nchi Yetu Popote Pale Ilipo ni Dola za Kimarekani Milioni Moja kuanzia tarehe 01/02/2010.

Say what?.
 
Hela peke yake bila ya uzalishaji ni makaratasi tu.

Kwani tukiwa matajiri si tunaweza import, sio kwamba hiyo hela tumeichapisha sisi. Kama inakuja kwa wingi itatufaa, saudi arabia uchumi wao wote umekua kwa namna hii.

Kama kuna wendawazimu wataweza kuja kununua ardhi yetu kwa hela anayoitaka serikali itakua ina hela sana.
 
Back
Top Bottom