Namna ya kuibadili shule kuwa International school

Namna ya kuibadili shule kuwa International school

Mussa dauda Mussa

New Member
Joined
Oct 9, 2022
Posts
3
Reaction score
2
Habari ndugu zangu tupo na shule yetu inaitwa WILLIAM BRANHAM PRE AND PRIMARY SCHOOL ipo Mbeya - Mkoa wa Songwe Tunduma tupo kwenye mikakati ya kuifanya iwe international school.

Naombeni ushauri na mawazo hatua mbali mbali za kufuata ili tuweze kuifanya international school ili niweze kushare na nilicho nacho ntashukuru
 
Tafuta Mitaala ya Cambridge,Ukikidhi

 
Tafuta Mitaala ya Cambridge,Ukikidhi

Kwa Cambridge huko Songwe akipange sana walimu pia....na kupata wanafunzi kujaza shule
 
Wiliam brahnam ,hili jina nalifananisha na jina la mchungaji mmoja kule marekani,na ni maarufu sana drc
 
Haiwezekani shule iwe Mbeya-Mkoa wa Songwe.

Shule ina matawi Mbeya na Songwe au imejengwa mpakani mwa hiyo mikoa?
 
Back
Top Bottom