Namna ya Kuitika

Namna ya Kuitika

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
7,518
Reaction score
6,506
Wana MMU, je mpenzi/mwenzi wako anavyoitika unapomwita inaongeza/athiri heshima na upendo katika mahusiano yenu. How do you feel.

Kwa mwanaume, unajisikiaje mke/mpenzi wako ukimwita akaiika, "nakuja, au eeeh, unasemaje au abee/bee"

Kwa mwanamke, umemwita mme/mpenzi wako naye akaiitika, "eeh, unasemaje nakuja au naam"

Je itikia ya "naam na abee/bee" ni kwa ajili ya watoto tu na si wakubwa

Hiyo hapo juu ni mifano tu ya jinsi watu wanavyoitika wakiitwa.
 
Uitikaji au uathiri mahusiano yes iwapo namna inayotumika sio preference ya mtendewa,kuna mtu mwingine anataka aitwe mpenzi,mwingine hataki hivyo anataka sweet, darl au calling by his/her name kwahiyo na uitikaji nao ni chaguo tu mtakalo penda kulitumia.
 
Najisikia raha sana mwanamke anapoitikia "bbeeee"
 
Nikiwa namwita huwa natumia Daddy!!! nae anajibu Yes my daughter!!!

Tukiwa kwenye ugomvi huwa namwita jina lolote lililo karibu yangu :becky::becky::becky::becky:
 
Uitikaji au uathiri mahusiano yes iwapo namna inayotumika sio preference ya mtendewa,kuna mtu mwingine anataka aitwe mpenzi,mwingine hataki hivyo anataka sweet, darl au calling by his/her name kwahiyo na uitikaji nao ni chaguo tu mtakalo penda kulitumia.

Hapo tuchukulie mapenzi yanahusisha kiswahili tu, jinsi ya kuitikia
 
Nikiwa namwita huwa natumia Daddy!!! nae anajibu Yes my daughter!!!

Tukiwa kwenye ugomvi huwa namwita jina lolote lililo karibu yangu :becky::becky::becky::becky:

Haya MR, kwamba namna ya kuitika kutegemee upepo wa siku hiyo!
 
Nikiwa namwita huwa natumia Daddy!!! nae anajibu Yes my daughter!!!

Tukiwa kwenye ugomvi huwa namwita jina lolote lililo karibu yangu :becky::becky::becky::becky:

Mkiitana na mpenzio hivi.... uhusiano wa "baba na mtoto/binti" - mnataka kuonyesha nini au mnaashiria nini?
 
Ha ha haa hapa ndio inkuwa shida kutoka darl mpaka kenge!
Nikiwa namwita huwa natumia Daddy!!! nae anajibu Yes my daughter!!!

Tukiwa kwenye ugomvi huwa namwita jina lolote lililo karibu yangu :becky::becky::becky::becky:
 
Nikiwa namwita huwa natumia Daddy!!! nae anajibu Yes my daughter!!!

Tukiwa kwenye ugomvi huwa namwita jina lolote lililo karibu yangu :becky::becky::becky::becky:

astaghafillulah!! halafu mkiwa kwenye kona kona mnaitanaje...?
 
Nadhani inategemea mko katika nyanja ipi: mfano mkiwa ktk game uitaji na kiitikio vinabadilika.
 
Vipi wale wenye mazoea ya kuitikia "nini"?

Hapa unaweza kuzua kizaa zaa ndani ya nyumba kama anayeitikia hivi ni Baba/Mama mwenye nyumba baada ya kuitwa na mwenzie.
 
Shida??Nini??Vipi?Nakuja!Nna kazi!Usinisumbue!Oh na kumuita ni wewe?Oya?
 
Back
Top Bottom