Mfipa Origino
Member
- Apr 25, 2016
- 78
- 43
Heri ya Christmas na Mwaka Mpya.
Wataalamu, naombeni ushauri namna ya kujaza njia ya malipo kwa ajili ya wateja Fiverr kwa Tanzania.
Maana kuna gig nilipost juzi na nikaanza kupata maoni ya wateja wakitaka kuweka oda, sasa mmoja alisema njia ya malipo sijaweka, na mwingine alisema alihitajika awe na email yangu.
Screenshots zipo hapo kwa msaada zaidi, maana bado najifunza wakuu.