Mfipa Origino
Member
- Apr 25, 2016
- 78
- 43
Heri ya Christmas na Mwaka Mpya.
Wataalamu, naombeni ushauri namna ya kujaza njia ya malipo kwa ajili ya wateja Fiverr kwa Tanzania.
Maana kuna gig nilipost juzi na nikaanza kupata maoni ya wateja wakitaka kuweka oda, sasa mmoja alisema njia ya malipo sijaweka, na mwingine alisema alihitajika awe na email yangu.
Screenshots zipo hapo kwa msaada zaidi, maana bado najifunza wakuu.View attachment 3185932
Hongera kwa kuchapukia hiyo fursa huko Fiverr ni salama sana kufanya Kazi na developer wengi wa bongo hawapo kabisa huko fiverr sijui kwanini
Shida ni ID za kuverify ni shida kwa Fiverr wanahitaji passport tu kwa TZ unlike other country ambapo wanatoa option nyingi kama National ID, DL na ID nyingineHongera kwa kuchapukia hiyo fursa huko Fiverr ni salama sana kufanya Kazi na developer wengi wa bongo hawapo kabisa huko fiverr sijui kwanini
Shida yako tafuta video YouTube nyingi tu watakupa maelekezo
Nimepewa na option ya National D huko PayoneerShida ni ID za kuverify ni shida kwa Fiverr wanahitaji passport tu kwa TZ unlike other country ambapo wanatoa option nyingi kama National ID, DL na ID nyingine
Asante sana kwa ushauri, nasubiri Review ya siku saba kwa watu wa Payoneer.Mtoa mada tumia paypal ni rahisi na salama..Ukitumiwa hamisha kwenye Grey App hii ya wakenya then unaitoa unapata direct kwenye simu..
AU
hapohapo paypal unaunganisha na Debid card ya bank then unakua unalipa na kupokea malipo maisha yamerahisishwa sanaa
Paypal kwa Tanzania, si nasikia hawaruhusu kupokea ela..?Mtoa mada tumia paypal ni rahisi na salama..Ukitumiwa hamisha kwenye Grey App hii ya wakenya then unaitoa unapata direct kwenye simu..
AU
hapohapo paypal unaunganisha na Debid card ya bank then unakua unalipa na kupokea malipo maisha yamerahisishwa sanaa
Achana na kusikia fanya practically..Unganisha na kadi ya bank uone kama hupokei maokoto yakoPaypal kwa Tanzania, si nasikia hawaruhusu kupokea ela..?
Payoneer pia safi, Skrill pia safi zaidi yaaani huwezi kukosa njia za malipo kwa dunia ya leo ukikosa utakua mzembe sanaaNimepewa na option ya National D huko Payoneer
Asante sana kwa ushauri, nasubiri Review ya siku saba kwa watu wa Payoneer.
Asante sana, nimeshasajili Payoneer na akaunti imefanyiwa “verification” tayari.Achana na kusikia fanya practically..Unganisha na kadi ya bank uone kama hupokei maokoto yako