Namna ya kujiandaa na interview za Serikali (ajira portal)

Said kinyombe

Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
13
Reaction score
25
Habari wadau, naomba niulize kwa aliyewahi kufanya interview za ajira portal, hususani hizi za MDAs kwa kada ya TOURISM OFFICER II maswali yake nitegemee yawe vipi kwa ile ya written na oral

Asante nawasilisha
 
Kingine hizi ajira walizozimwaga hasa upande wa madereva zile post 514 ni za mkataba au ajira ya kudumu.
 
Kama mnafanya Kwa njia OATS basi soma kweli, mwanzo mwisho ulivyofundishwa chuoni kwenu, Kuna vitu basics Kwa kozi yako lazima uvijue na kama kozi inahusu calculations pia pitia sana...ubaya wa hizi aptitude test huwa Zina cover eneo kubwa kwelikweli, lazima usome vizuri.
 
Hivi uptitude test mawswali ni multiple choice tu,,au Kuna na calculation na explanation questions
 
Hizo mostly in multiple choice tu, hata hao utumishi mfumo wanaotumia ni multiple choice (Kwa jinsi nilivyoambiwa na mhusika mmoja)...Inahitaji mtu asome kweli, calculation nazo unakutana na za kuchagua...very extensive but simple kama ulisoma vizuri.
 
Binafsi zijawahi kutana na uptitude test za kibongo la za Indeed wale jamaa ni nyoko lazima uguse kila idara, geography, history,IT, Accounting, Transport kwa maana IATA, Mathematics yaani kila idara na maswali huwa 100 muda masaa mawili na zinahesabiwa alama si marks. Kwa kifupi jua ulichosomea, ijue taasisi unayotarajia kuifanyia kazi, idara zake nk. Bila kusahau general knowledge. Ingekuwa hizi za sector binafsi ningekufungulia code zote
 
Hizo mostly in multiple choice tu, hata hao utumishi mfumo wanaotumia ni multiple choice (Kwa jinsi nilivyoambiwa na mhusika mmoja)...Inahitaji mtu asome kweli, calculation nazo unakutana na za kuchagua...very extensive but simple kama ulisoma vizuri.
Sasa kama ni teacher wa Chemistry uaze soma wapi, olevel,high level, chemistry ya chuo,,,nauliza Kwa kada ya elimu
 
Habari wadau, naomba niulize kwa aliyewahi kufanya interview za ajira portal, hususani hizi za MDAs kwa kada ya TOURISM OFFICER II maswali yake nitegemee yawe vipi kwa ile ya written na oral

Asante nawasilisha
Tulia kwanza basi hadi uone umeitwa usaili,usije kujijaza upepo
 
Tafuta slides za mhimu kuhusu tourism uzpitie mkuu kama issue za community-based tourism, IATA, Convection meeting, Tourism env, na mengne kwa uwezo wako
 
Jibu swali. Lile ni swali au maelezo?

Nataka nikufundishe alama za uandishi zinazofundishwa darasa la kwanza C kabla hujaenda kuwa afisa wa serikali
Kwani we umeelewaje kaka,naona jinsi gani mwl. Wako wa vidudu alikuwa anapata shida na wewe.
 
Back
Top Bottom