Namna ya kujiandaa na interview za Serikali (ajira portal)

Kwani we umeelewaje kaka,naona jinsi gani mwl. Wako wa vidudu alikuwa anapata shida na wewe.
Nimeelewa kwamba haujui tofauti ya maelezo na swali. Haujui ni wapi uweke alama ya kiulizo. Nadhani sasa umeelewa kati ya mwalimu wangu wa vidudu na wako ni yupi aliyepata shida
 
Nimeelewa jinsi gani ulivyo mmbea,hakuna kitu kinapita mbele yako usiwashwe vingine vina miba chief🏃‍♀️
 
Ona vile unatafuta kasoro umetoa macho kama samaki anakata roho.
 
Nimeelewa jinsi gani ulivyo mmbea,hakuna kitu kinapita mbele yako usiwashwe vingine vina miba chief🏃‍♀️
Japo kwa mbinde lakini umeelewa. Unapoandika hapa jukwaani zingatia alama za uandishi ili ueleweke kwa ufasaha.

Karibu tena nikufundishe lugha ambayo wakati wenzio wanasoma darasa la pili B wewe ulikua busy unaparamia miti ya mapera badala ya kuwa darasani
 
Umesahau tulikuwa wote tunakimbia umande.
 
Tafuta slides za mhimu kuhusu tourism uzpitie mkuu kama issue za community-based tourism, IATA, Convection meeting, Tourism env, na mengne kwa uwezo wako
Mkuu ninavyoelewa mim aina hizi za test hupima General knowledge ya mtu na maswali huwa hayana mipaka ili mradi kukupima uelewa wako sasa hii ya utumishi kwa namna ulieleza inaonekana inabase sana kwenye course mtu aliosoma?
 
ALIE WAHI KUFANYA USAILI WA TECHNICIAN 11 ( TELECOMMUNICATION) WRITTEN NAOMBA ANISAIDIE MASWALI
 
Back
Top Bottom