Said kinyombe
Member
- Oct 16, 2021
- 13
- 25
Kingine hizi ajira walizozimwaga hasa upande wa madereva zile post 514 ni za mkataba au ajira ya kudumu.Habari wadau, naomba niulize kwa aliyewahi kufanya interview za ajira portal, hususani hizi za MDAs kwa kada ya TOURISM OFFICER II maswali yake nitegemee yawe vipi kwa ile ya written na oral
Ya kudumuKingine hizi ajira walizozimwaga hasa upande wa madereva zile post 514 ni za mkataba au ajira ya kudumu.
Hivi uptitude test mawswali ni multiple choice tu,,au Kuna na calculation na explanation questionsKama mnafanya Kwa njia OATS basi soma kweli, mwanzo mwisho ulivyofundishwa chuoni kwenu, Kuna vitu basics Kwa kozi yako lazima uvijue na kama kozi inahusu calculations pia pitia sana...ubaya wa hizi aptitude test huwa Zina cover eneo kubwa kwelikweli, lazima usome vizuri.
Hizo mostly in multiple choice tu, hata hao utumishi mfumo wanaotumia ni multiple choice (Kwa jinsi nilivyoambiwa na mhusika mmoja)...Inahitaji mtu asome kweli, calculation nazo unakutana na za kuchagua...very extensive but simple kama ulisoma vizuri.Hivi uptitude test mawswali ni multiple choice tu,,au Kuna na calculation na explanation questions
Binafsi zijawahi kutana na uptitude test za kibongo la za Indeed wale jamaa ni nyoko lazima uguse kila idara, geography, history,IT, Accounting, Transport kwa maana IATA, Mathematics yaani kila idara na maswali huwa 100 muda masaa mawili na zinahesabiwa alama si marks. Kwa kifupi jua ulichosomea, ijue taasisi unayotarajia kuifanyia kazi, idara zake nk. Bila kusahau general knowledge. Ingekuwa hizi za sector binafsi ningekufungulia code zoteHivi uptitude test mawswali ni multiple choice tu,,au Kuna na calculation na explanation questions
Sasa kama ni teacher wa Chemistry uaze soma wapi, olevel,high level, chemistry ya chuo,,,nauliza Kwa kada ya elimuHizo mostly in multiple choice tu, hata hao utumishi mfumo wanaotumia ni multiple choice (Kwa jinsi nilivyoambiwa na mhusika mmoja)...Inahitaji mtu asome kweli, calculation nazo unakutana na za kuchagua...very extensive but simple kama ulisoma vizuri.
KitaumanašSasa kama ni teacher wa Chemistry uaze soma wapi, olevel,high level, chemistry ya chuo,,,nauliza Kwa kada ya elimu
Hili ni swali au maelezo?Kingine hizi ajira walizozimwaga hasa upande wa madereva zile post 514 ni za mkataba au ajira ya kudumu.
Vingine sio lazima kujibu kama huna majibu acha vikupite,kwani ukikaa kimya unavunjika vidole?Hili ni swali au maelezo?
Asante ndugu kwa mwongozo.Ya kudumu
Chuo aisee, soma kuanzia chuoni ndugu.Sasa kama ni teacher wa Chemistry uaze soma wapi, olevel,high level, chemistry ya chuo,,,nauliza Kwa kada ya elimu
Za kudumu mtaalamKingine hizi ajira walizozimwaga hasa upande wa madereva zile post 514 ni za mkataba au ajira ya kudumu.
Tulia kwanza basi hadi uone umeitwa usaili,usije kujijaza upepoHabari wadau, naomba niulize kwa aliyewahi kufanya interview za ajira portal, hususani hizi za MDAs kwa kada ya TOURISM OFFICER II maswali yake nitegemee yawe vipi kwa ile ya written na oral
Asante nawasilisha
Jibu swali. Lile ni swali au maelezo?Vingine sio lazima kujibu kama huna majibu acha vikupite,kwani ukikaa kimya unavunjika vidole?
Kwani we umeelewaje kaka,naona jinsi gani mwl. Wako wa vidudu alikuwa anapata shida na wewe.Jibu swali. Lile ni swali au maelezo?
Nataka nikufundishe alama za uandishi zinazofundishwa darasa la kwanza C kabla hujaenda kuwa afisa wa serikali