Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Nimeelewa kwamba haujui tofauti ya maelezo na swali. Haujui ni wapi uweke alama ya kiulizo. Nadhani sasa umeelewa kati ya mwalimu wangu wa vidudu na wako ni yupi aliyepata shidaKwani we umeelewaje kaka,naona jinsi gani mwl. Wako wa vidudu alikuwa anapata shida na wewe.
Nimeelewa jinsi gani ulivyo mmbea,hakuna kitu kinapita mbele yako usiwashwe vingine vina miba chiefπββοΈNimeelewa kwamba haujui tofauti ya maelezo na swali. Haujui ni wapi uweke alama ya kiulizo. Nadhani sasa umeelewa kati ya mwalimu wangu wa vidudu na wako ni yupi aliyepata shida
Ona vile unatafuta kasoro umetoa macho kama samaki anakata roho.Nimeelewa kwamba haujui tofauti ya maelezo na swali. Haujui ni wapi uweke alama ya kiulizo. Nadhani sasa umeelewa kati ya mwalimu wangu wa vidudu na wako ni yupi aliyepata shida
Japo kwa mbinde lakini umeelewa. Unapoandika hapa jukwaani zingatia alama za uandishi ili ueleweke kwa ufasaha.Nimeelewa jinsi gani ulivyo mmbea,hakuna kitu kinapita mbele yako usiwashwe vingine vina miba chiefπββοΈ
Umesahau tulikuwa wote tunakimbia umande.Japo kwa mbinde lakini umeelewa. Unapoandika hapa jukwaani zingatia alama za uandishi ili ueleweke kwa ufasaha.
Karibu tena nikufundishe lugha ambayo wakati wenzio wanasoma darasa la pili B wewe ulikua busy unaparamia miti ya mapera badala ya kuwa darasani
Mkuu ninavyoelewa mim aina hizi za test hupima General knowledge ya mtu na maswali huwa hayana mipaka ili mradi kukupima uelewa wako sasa hii ya utumishi kwa namna ulieleza inaonekana inabase sana kwenye course mtu aliosoma?Tafuta slides za mhimu kuhusu tourism uzpitie mkuu kama issue za community-based tourism, IATA, Convection meeting, Tourism env, na mengne kwa uwezo wako