Internet BankingWanaJM napenda kujiunga na Internet banking ..mimi ni Mteja wa CRDB naomba kwa mwenye ujuzi na hili anitoe GIzan.
Baada ya account yangu ya awali ya internet banking kukatizwa kinyemela na hii benki isiyosikiza, nimejaribu kujiunga tena mara tatu bila mafanikio....
Nashukuru sana Wadau..First thing tomor mornin ni kwenda Benki.
Bannk gani chief? kama ni CRDB labda ni bahati mbaya tu. Kwa upande wangu naona wapo ''sikivu sana'' na huwa wanarespond kwa wakati kama nina issues zozote
Kwani tunaongelea benki gani hapa?Bannk gani chief? kama ni CRDB labda ni bahati mbaya tu. Kwa upande wangu naona wapo ''sikivu sana'' na huwa wanarespond kwa wakati kama nina issues zozote
Hii benki bado ni mbovu na sioni hizo sifa wanazoipa ni za nini hasa. Kuna madudu mengi nimekutana nayo na hii benki isiyosikiza. Nawaendelea kuwakumbusha watu wa hii benki kua dunia ya leo iliyojaa ushindani, kumpata mteja mpya ni ghali kuliko kumshika uliye naye.
- Tatizo lipo kwa baadhi ya wafanyakazi wa benk
- Hawafanyii kazi kwa wakati mpaka urudie mara mbili au tatu ndio utashughulikiwa
- Ila kwa ujumla wake CRDB ni moja kati ya benki bora zaidi nikilinganisha na benki zingine nipatazo huduma.