Namna ya Kujiunga na Internet Banking Kwa Benki ya CRBD

Namna ya Kujiunga na Internet Banking Kwa Benki ya CRBD

Brian45

Member
Joined
Nov 3, 2014
Posts
7
Reaction score
0
WanaJM napenda kujiunga na Internet banking ..mimi ni Mteja wa CRDB naomba kwa mwenye ujuzi na hili anitoe GIzan.
 
Baada ya account yangu ya awali ya internet banking kukatizwa kinyemela na hii benki isiyosikiza, nimejaribu kujiunga tena mara tatu bila mafanikio(zero response from appropriate department). Soon nitafunga account yangu kwene benki hii isiyosikiza.
 
WanaJM napenda kujiunga na Internet banking ..mimi ni Mteja wa CRDB naomba kwa mwenye ujuzi na hili anitoe GIzan.
Internet Banking
  • Pia waweza download na kujaza hii form INTERNET BANKING APPLICATION FORM toka kwenye site yao na kuipeleka tawi lolote lililo karibu nawe.
 
Attachments

Baada ya account yangu ya awali ya internet banking kukatizwa kinyemela na hii benki isiyosikiza, nimejaribu kujiunga tena mara tatu bila mafanikio....

Bannk gani chief? kama ni CRDB labda ni bahati mbaya tu. Kwa upande wangu naona wapo ''sikivu sana'' na huwa wanarespond kwa wakati kama nina issues zozote
 
Nashukuru sana Wadau..First thing tomor mornin ni kwenda Benki.
 
Bannk gani chief? kama ni CRDB labda ni bahati mbaya tu. Kwa upande wangu naona wapo ''sikivu sana'' na huwa wanarespond kwa wakati kama nina issues zozote
  • Tatizo lipo kwa baadhi ya wafanyakazi wa benk
  • Hawafanyii kazi kwa wakati mpaka urudie mara mbili au tatu ndio utashughulikiwa
  • Ila kwa ujumla wake CRDB ni moja kati ya benki bora zaidi nikilinganisha na benki zingine nipatazo huduma.
 
utaishia kuibiwa tu humo, tumia internet banking ya Standard Chartered Bank, hakuna ya kufananisha nayo Tanzania nzima
 
Punda wa Dobi that's a bold statement aiseee....Una evidence yoyte au do u knw any victim??
 
  • Tatizo lipo kwa baadhi ya wafanyakazi wa benk
  • Hawafanyii kazi kwa wakati mpaka urudie mara mbili au tatu ndio utashughulikiwa
  • Ila kwa ujumla wake CRDB ni moja kati ya benki bora zaidi nikilinganisha na benki zingine nipatazo huduma.
Hii benki bado ni mbovu na sioni hizo sifa wanazoipa ni za nini hasa. Kuna madudu mengi nimekutana nayo na hii benki isiyosikiza. Nawaendelea kuwakumbusha watu wa hii benki kua dunia ya leo iliyojaa ushindani, kumpata mteja mpya ni ghali kuliko kumshika uliye naye.
 
Back
Top Bottom