moseskwaslema
Member
- May 3, 2012
- 92
- 13
Watanzania wenzangu naomba tusaidiane ktk hili,nina mdogo wangu kamaliza f4 na amepata 1v ya 28 anataka kujiunga na jeshi la polisi au magereza lakini hatujui huwa watu wanajiungaje kwani binafsi sijawahi kuona matangazo yao na criteria za kujiunga,naomba mnisaidie ndugu zangu.