Namna ya kujiunga na UCC.

Namna ya kujiunga na UCC.

dottoz

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2012
Posts
1,510
Reaction score
870
Hey wadau naombeni msaada wenu wa kujiunga na UCC.
 
unachukua form chuoni udsm ucc kama uko dsm au arusha wapo summit pale
 
Hey wadau naombeni msaada wenu wa kujiunga na UCC.

Tafuta kituo chao katika mkoa uliopo na ufike kwan Tatizo lako litatatuliwa, acha uvivu we ulitaka wana jf ndo wakuletee form!
 
Back
Top Bottom