Mama Mwana JF-Expert Member Joined Jun 6, 2023 Posts 2,435 Reaction score 7,784 Mar 8, 2024 #1 Hellow friends, naomba kuelekezwa namna ya kujiunga na hii kitu
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Mar 8, 2024 #2 Kwanza ungeelezea UTT AMIS ni nini? Siyo wote wanajua hiyo kitu. Ukielezea maana yake inawezekana mtu mwingine akakupa general concept jinsi ya kujiunga kwasababu procedure ni the same.
Kwanza ungeelezea UTT AMIS ni nini? Siyo wote wanajua hiyo kitu. Ukielezea maana yake inawezekana mtu mwingine akakupa general concept jinsi ya kujiunga kwasababu procedure ni the same.