Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.
Naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie namna naweza kuwa wakala wa betting (Betting Point).
Nataka uwakala sabab nina kibanda changu cha kuonesha mpira kimechanganya sana, nikapata wazo la kuwa wakala (Agent) kabisa wa betting.
Nitashukuru kwa msaada kutoka kwa wajuvi, ili tuzidi kujikwamua kiuchumi.