Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
VIASHIRIA KUWA HUENDA SIMU YAKO IMEDUKULIWA
Simu yako kufanya kazi tofauti na ulivyoitaka au ambazo hujaidhinisha kama kutuma Ujumbe, kupiga simu
Uwepo wa Programu Wezeshi (Applications) ambazo hujaziweka wewe na hazikuja na simu hiyo kutoka kwa Watengenezaji
Chaji kuisha haraka kuliko kawaida: Ishara kuwa kuna Programu Wezeshi inafanya kazi pasipo kuonekana (in background)
Matumizi ya Internet kuongezeka tofauti na awali: Ishara kuwa kuna Programu Wezeshi inatumia
Simu kufanya kazi taratibu, kujizima na kujiwasha, au kukwama inapofanya kazi
Mambo ya Kufanya Kama Kifaa Chako Kimedukuliwa:
Ingia kwenye orodha ya Programu Wezeshi, na kuondoa ambazo hukuzipakua au hazikuja na simu
Badilisha Nywila zako zote, za simu, Barua pepe, na Programu Wezeshi nyingine muhimu
Ondoa akaunti yoyote usiyoijua iliyosakinishwa kwa barua pepe yako
Kagua simu yako (scan) kwa kutumia Application zinazoaminika ili kudhibiti zaidi udukuzi huo.