GoPPiii.
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 1,792
- 3,075
Ninawasalimu kwa jina la Tanzania ya amani ndugu zangu walipa kodi,wafanya biashara,wanauchumi na wajasiriamali.
Ni halali na wajibu wa kila mtanzania kulipa kodi kwa kila pato analoliingizaa kulingana na sheria,kanuni na katiba na ni kosa kisheria kukwepa kulipa kodi ya biashara.
Mapato ya Kodi yanafaida kwa nchi yoyote katika kuleta maendeleo katika kila sekta, lakini sio siri kwa namna moja au nyingine mfanyabiashara na mjasiriamali kodi anatamani isiwepo,na ikiwepo iwe ndogo sana ili apate faida maradufu.
Japo inatakiwa kuilipa bila kupinga au kukwepa naomba tusaidiane mbinu mbali mbali namna ya kupunguza wingi na utitiri wa kodi katika biashara zetu,namna ya kupunguza kiwango cha kodi za biashara au kuikwepa kabisa huku tukiendelea na biashara. Haswa namna ya kupunguza kiwango cha kodi ya biashara ya kulipa kwa mamlaka zetu.
Natanguliza shukrani kwa mbinu yoyote.