Namna ya kulazwa kimagumashi ungali mzima wa afya

Namna ya kulazwa kimagumashi ungali mzima wa afya

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Jamani mm nimeboronga.

Nawezaje kulazwa hospitali nikiwa mzima wa afya ili nisolve tatizo langu fulani?Maana hiyo ndo solution pekee.

Naombeni ushauri
 
*****! amna namna mkuu ata ukilazwa uta gomea uji wa chumvi..pambana utatue tatizo uzembe sio jibu!!!
 
huyu atakua katoroka kazini sasa anataka kupeleka uthibitisho kama alikua amelazwa,acha utoro

pambana na hali Hall?,
 
Jamani mm nimeboronga.

Nawezaje kulazwa hospitali nikiwa mzima wa afya ili nisolve tatizo langu fulani?Maana hiyo ndo solution pekee.

Naombeni ushauri
Kaka( Au dada sijui) Mbona Hili jambo rahisi sana, wewe kama unahela zako hazina kazi nenda hospital binafsi ambazo haziko bize kisha waambie shida yako, watakulaza hata ukitaka drip utawekewa pia, ata ukitaka operation utafanyiwa hata kama hauumwi, watafumua tu matumbo kisha wachezee maini wakichoka wanashona. LAKINI usiwe mgumu kulipa bili zote.
 
Kuna tukio lilinikuta nikatamani nitumie alternative ya kulazwa ila sikujua hospital watakubalije kunilaza wakati hata homa sina
 
Back
Top Bottom