Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
2. Maandalizi mazuri Kabla ya Mapenzi sio ajenda. Maisha ya mapenzi yenye afya huanza na maandalizi kati ya wawili Kwa kuvaa nguo zenye bashasha na kuanza na mazungumzo ya kufanya Mapenzi kabla ya kulala
3. Mwanaume Fanyeni mambo ya kihuni pamoja, Mshike makalio wakati hatarajii kimbia kidogo, Mwanamke pitisha mkono wako kwenye uume wake, pakazana kwenye chuchu bila onyo , msiwe na style Moja ya mapenzi
4. Usimwite mpenzi wako kufanya Mapenzi. Haita mpa mwemko wa kufanya Mapenzi, tumia njia nyingine za kimahaba kumshawishi
5. Epuka kuangalia picha za ngono. Hiyo inakufanya kutozingatia mapenzi yenu
6. Tutumieni meseji za kihuni. Hii inaimalisha mahusiano yenu
7. Kwa Mwanamke jitahidi kubadilisha mavazi yako mara Kwa mara ili kuepuka Mwanaume kukuchoka, mavazi yanachochea kuibua hisia mpya..
8. Tumia mikao ya mitego ukiwa na mpenzi wako. Kaka Mikao ya kimalaya ukiwa na mpenzi wako. kata kiuno ukiwa umekaa kitandani. Mpe onyesho la kipekee mikao mbalimbali hii inasaidia kufanya Mwanaume hasitoke ndani...
9. Dumisha usafi. Usafi utawafanya wote wawili kutazamia kulambana, kugusana na kupenda kukumbatiana. Weka manukato ya kuvutia, weka mdomo uwe na harufu mzuri, akikisha mdomo hautoi arafu chafu, miguu haitoi arufu chafu , uke hautoi arufu chafu.
10. Tengeneza chumba cha kulala katika Hali usafi . Badilisha mwonekano wa chumba chako cha kulala mara kwa mara. Badilisha mashuka folonya, Kwa Mwanamke wakati unaanda chumba akikisha umevaa kaka Moja au nguo ya kulalia tu. Hii itamfanya Mwanaume kutulia nyumbani