Namna ya kumfanya mpenzi wako wa kike akung'ang'anie

Me: shost naomba niazime chaja yako ni bust

Shost: aaaah natumia iphone

Me: oooh sawa mama
🤣🤣🤣🤣🤣Najikuta nacheka kifara Wa. Android tumebaki tupo juu mapesa yote Yale alafu utumie charge ya android hivi unaakili kwer ww kiwanja kile
 
Unaweza ukawa sahihi lakini km unafanya hivyo ili umteke ujue unajidanganya...

Kama ingekua kuna namna ya kumfanya demu asichepuke watu wangejifunza ....ila kwavile hata ufanye nini demu wako ataliwa tuu huko nje

Kwa mantiki hiyo bhas usipoteze muda kutaka kumridhisha mwanamke ...
 
Kwanini
 
Namna ya kufanya PESA ikung'ang'anie.

Mapenzi hayana mwenyewe.

Pesa haiwezi kukusaliti kamwe
 
Back
Top Bottom