Ngoja leo niongee kama Kaka Mkubwa.
Kwanza haina haja ya Ugoro wala nini, ww kula shiba na usifanye mapenzi kama kuku.
(Leo huyu , kesho yule, kesho kutwa yule kule). Ujinga huu.
Kingine , Zamani kidogo, nikiwa na miaka kati ya 20’s - 27’s hivi , pamoja na kutembea na wanawake wengi ila kwa ushuhuda wasasa, asilimia zaidi ya 90 ya wale wanawake walikuwa wanafurahia tendo na sio kufika mshindo.
Kosa wakat ni hili, Wanaume tunajiaminisha wanawake wanafanana kwenye tendo wakati sio, dalili /namna ya kumfikisha mwanamke mmoja ina tofauti na mwingine.
niliaminisha na story za vijana wenzangu, pasipo kusikia wanawake wenyewe wanasemaje.
Baadaye nikapata ujasiri na kuwauliza na kuwasikia wanawake wawili watatu kuhusu hili na waliniambia mengi.
So Vijana, hao wanawake mnaofanya nao, waulizen uwafanyie nini na nini ili waridhike,
Siri ndio ipo hapa.
Story za wanaume wenzetu nyingi ni fake na hazina uhalisia.
Ukiwa na nguvu zako, Uboooooo umesimama wima vizuuuuri kabisa, na umekula ukashiba, mazingira sawia na mwanamke wako akawa huru kwako na akakuambia anafurahia umfanye hivi na hivi.
Huyo asipofika ana matatizo yake binafsi.
Na baada ya kujua haya [emoji23][emoji23][emoji23] sigawi u_oo ovyo ovyo.