Namna ya kumiliki/kufungua kampuni ya " sport betting"

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
Naombeni kufahamu taratibu zote za mtu kumiliki kampuni ya sport betting.

Nadhani ni fursa kwa sasa.

Nitafurahii kusikia kutoka kwenu.

Ahsanteni.
 
Bora unaefungua company kuliko yule anaefungua akaunti..

Mi sijui taratibu zao, ila I wish you all the best.
 
Sio kila mtu ni muislamu..

Hata kutoamini unachoamini wewe nayo ni imani pia.
 
Hata kwa wakristo kamari ni dhambi. Waprotestant wote wanakubali hilo sina uhakika na katoliki maana wao sio wazee wanoko kwao ruksa kidogo huwa ipo
Imani sio ukristo na uislamu tu..
Ingawa hizo ni imani.
 
Blaza, unajua mimi ni Mtumishi.
Nikiona mtu anataka kufanya jambo ambalo litampelekea kuchomwa moto siku ya Qiyama, lazima Nikemee.

Otherwise nitakua Padri Uchwara badala ya Padri Mcharo.
Yakaisara apewe kaisari, rudi ibadan
 
Derby
 
Sasa Kama Kufanya betting ni haramu .. Then Kuangalia itakua ni Haramu pia ...
Coz tayari Source yake ina unajisi.

Chungeni sana Uelewa na tafsiri za dini zenu. , unaweza jikuta hata ulimi wako ni haramu.
 
Watu mnaulizwa Jinsi Ya Kufungua Kampuni,mnaleta habari za dini . Kuna mtu kaandika Ukristo/Uislamu/Ubudha hapa.

Au mmelemewa na imani . ? .

Kafungueni thread zenu mueneze dini .
Usitulazimishe Imani yako hapa
 
wengine ni wapagani mkuu so hawazitak hizo habari kwao ni nyeusi
 
Ila itabidi ujifunze uchawi wa kuwapiga upofu watakaobet bila hvyo utafunga biashara week ya kwanza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…