Namna ya kumiliki/kufungua kampuni ya " sport betting"

Namna ya kumiliki/kufungua kampuni ya " sport betting"

kwa vyovyote ..nitafurahi nikipata Maelekezo yake
Nikusaidie kidogo kuna makampuni yasiyopungua 7 au 10 ya sports betting.kabla ya kutaka kufungua sana wote wanaangalia mtaji maana kidogo mtaji uwe nao wote wanataka duka lako ujinunulie kila kitu wao waje wakufungie System yao tu (sio mtaalam km ni sawa inaitwa hivyo) Nazijua kampuni zote ila ni kweli Dini zote haziruhusu ni aina flani ya biashara ya ki freemason
 
And what is freemason ..!
 
Biashara ukiifanya na dini utakuwa mjasiliamali wa kawaida
 
Hata kwa wakristo kamari ni dhambi. Waprotestant wote wanakubali hilo sina uhakika na katoliki maana wao sio wazee wanoko kwao ruksa kidogo huwa ipo
Acheni unafiki mnazini,,mnakunya pombe,,mnafanya usodoma hzo sio zambi wala haramu kwa Allah!!! haramu ni kufungua kampuni ya beating??
 
Blaza, unajua mimi ni Mtumishi.
Nikiona mtu anataka kufanya jambo ambalo litampelekea kuchomwa moto siku ya Qiyama, lazima Nikemee.

Otherwise nitakua Padri Uchwara badala ya Padri Mcharo.
We bhana toa mchango jinsi gan kampuni ya beating inaanzishwa Qiyama na moto za nin hapo!!!
 
Naombeni kufahamu taratibu zote za mtu kumiliki kampuni ya sport betting.

Nadhani ni fursa kwa sasa.

Nitafurahii kusikia kutoka kwenu.

Ahsanteni.
so rahisi kama unavyofikilia we wale wahindi wanaochezesha hii kitu ni wanatumia nguvu za.Giza ndo mana watu wanaliwa kila siku wanapigwa upofu wanavyobet kikubwa ni kujalibu kwanz uone hichi nachokwambia
 
Nachoweza kucomment ni kuwa lazima nawe uwe na element za uwanga,tabata bima duka limefungwa naona jamaa ndumba zitakuwa zimuuishia maana kachezea kichapo mpaka kafilisika.
Labda umiliki Yale MA mashine ili mtu akishinda mkeka unamwambia nenda kachukue kwa kanjibhai town,hutoi chako mfukoni
 
Sasa betting ni biashara gani ya kijinga namna hii, yani kweli mpaka utumie nguvu za giza kwa hiyo wanaoshinda pesa inakuw mganga karuhusu ashinde,mmmh
 
Nachoweza kucomment ni kuwa lazima nawe uwe na element za uwanga,tabata bima duka limefungwa naona jamaa ndumba zitakuwa zimuuishia maana kachezea kichapo mpaka kafilisika.
Labda umiliki Yale MA mashine ili mtu akishinda mkeka unamwambia nenda kachukue kwa kanjibhai town,hutoi chako mfukoni
lile goli nimelifuatilia kinoma mwishowe wahindi wananiambia watafungua wenyewe.
ila inshort jamaa nasikia alikuwa mlevi haswa. kila siku anakomba mauzo na gambe kwenda mbele. biashara ya betting ni zaidi ya D9
 
Naombeni kufahamu taratibu zote za mtu kumiliki kampuni ya sport betting.

Nadhani ni fursa kwa sasa.

Nitafurahii kusikia kutoka kwenu.

Ahsanteni.
Mkuu una wazo zuri, nitafute tuweke nguvu pamoja, umoja ni nguvu
 
Naombeni kufahamu taratibu zote za mtu kumiliki kampuni ya sport betting.

Nadhani ni fursa kwa sasa.

Nitafurahii kusikia kutoka kwenu.

Ahsanteni.
Bila shaka umekuja na wazo baada ya kuona umekuwa na mchango mkubwa sana kwa mhindi, ni wazo zuri
 
Back
Top Bottom