Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
- Thread starter
-
- #21
kwa vyovyote ..nitafurahi nikipata Maelekezo yakeLabda uanze kama m bet
Nikusaidie kidogo kuna makampuni yasiyopungua 7 au 10 ya sports betting.kabla ya kutaka kufungua sana wote wanaangalia mtaji maana kidogo mtaji uwe nao wote wanataka duka lako ujinunulie kila kitu wao waje wakufungie System yao tu (sio mtaalam km ni sawa inaitwa hivyo) Nazijua kampuni zote ila ni kweli Dini zote haziruhusu ni aina flani ya biashara ya ki freemasonkwa vyovyote ..nitafurahi nikipata Maelekezo yake
And what is freemason ..!Nikusaidie kidogo kuna makampuni yasiyopungua 7 au 10 ya sports betting.kabla ya kutaka kufungua sana wote wanaangalia mtaji maana kidogo mtaji uwe nao wote wanataka duka lako ujinunulie kila kitu wao waje wakufungie System yao tu (sio mtaalam km ni sawa inaitwa hivyo) Nazijua kampuni zote ila ni kweli Dini zote haziruhusu ni aina flani ya biashara ya ki freemason
Ni kweliSio kila mtu ni muislamu..
Hata kutoamini unachoamini wewe nayo ni imani pia.
Mkuu, ulipata maelezo ya kurithisha? ulichukua hatua? ama ulighairkwa vyovyote ..nitafurahi nikipata Maelekezo yake
walianzaje hawa mkuuLabda uanze kama m bet
Acheni unafiki mnazini,,mnakunya pombe,,mnafanya usodoma hzo sio zambi wala haramu kwa Allah!!! haramu ni kufungua kampuni ya beating??Hata kwa wakristo kamari ni dhambi. Waprotestant wote wanakubali hilo sina uhakika na katoliki maana wao sio wazee wanoko kwao ruksa kidogo huwa ipo
We bhana toa mchango jinsi gan kampuni ya beating inaanzishwa Qiyama na moto za nin hapo!!!Blaza, unajua mimi ni Mtumishi.
Nikiona mtu anataka kufanya jambo ambalo litampelekea kuchomwa moto siku ya Qiyama, lazima Nikemee.
Otherwise nitakua Padri Uchwara badala ya Padri Mcharo.
so rahisi kama unavyofikilia we wale wahindi wanaochezesha hii kitu ni wanatumia nguvu za.Giza ndo mana watu wanaliwa kila siku wanapigwa upofu wanavyobet kikubwa ni kujalibu kwanz uone hichi nachokwambiaNaombeni kufahamu taratibu zote za mtu kumiliki kampuni ya sport betting.
Nadhani ni fursa kwa sasa.
Nitafurahii kusikia kutoka kwenu.
Ahsanteni.
lile goli nimelifuatilia kinoma mwishowe wahindi wananiambia watafungua wenyewe.Nachoweza kucomment ni kuwa lazima nawe uwe na element za uwanga,tabata bima duka limefungwa naona jamaa ndumba zitakuwa zimuuishia maana kachezea kichapo mpaka kafilisika.
Labda umiliki Yale MA mashine ili mtu akishinda mkeka unamwambia nenda kachukue kwa kanjibhai town,hutoi chako mfukoni
Mkuu una wazo zuri, nitafute tuweke nguvu pamoja, umoja ni nguvuNaombeni kufahamu taratibu zote za mtu kumiliki kampuni ya sport betting.
Nadhani ni fursa kwa sasa.
Nitafurahii kusikia kutoka kwenu.
Ahsanteni.
Bila shaka umekuja na wazo baada ya kuona umekuwa na mchango mkubwa sana kwa mhindi, ni wazo zuriNaombeni kufahamu taratibu zote za mtu kumiliki kampuni ya sport betting.
Nadhani ni fursa kwa sasa.
Nitafurahii kusikia kutoka kwenu.
Ahsanteni.
Biashara ukiifanya na dini utakuwa mjasiliamali wa kawaida