Namna ya kumjua mwenza mtulivu au mcharuko

Namna ya kumjua mwenza mtulivu au mcharuko

Kwahiyo wewe hukuwa na mtu ila ukabeba mtu uliekutana nae beach
upo juu sana
OTIS

Ina maana we hujawahi kutoka ukiwa peke yako ukafika sehemu ya starehe ukaopoa!
 
what if hao wadada wanajuana na wana ugomvi wao tu
so kaamua kumharibia mwenzie?
what if hakuwa mwathirika ni uwongo na fitina?

Naamini kwa binadamu mwenye akili timamu akiambiwa jambo lazima afanye uchunguzi zaidi. Nilifanya uchunguzi zaidi na sikuacha kutoka naye! Hadi pale aliponikorofisha mwenyewe.
 
Angeipata Shigongo hii, ingeuza kweli kwa kuipa title ''POISONED LOVE'' alafu na kuandika kwa kiswahili ''PENZI LILILONICHOMA''

True story mkuu! wala si ubumbaji
 
Haya mambo hayanaga formula for sure,sometimes ni kama bingo tuyaache tu kama yalivyo!

Uko sawa ila angalizo langu ni kwa wale wanaoopoa madem na kufanya kwa siri - si vizuri hata kidogo.
 
Kuna vi2 viwili nimevipata from this, "kuwa wazi" na "kuwa mkweli". Wazungu wanasema the truth will set u free.

Naamini umenielewa vyema! Japo kuwa mkweli ni gharama ila ni vyema sana!
 
kwa enzi hizo,inawezekana,ila siku hizi,kupima kwanza,mambo mengine baadae.juu ya yote,soksi muhimu

Enzi hizo hali ilikuwa mbaya sana! hapa naongelea miaka ya 1998,

Ila pamoja na kwamba sikumlamba - tulistarehe mno, dem mwenyewe alikuwa mmanyema! mzuri wa kupindukia na uzuri wake ndo ulinisaidia kuwa na subira. Nilikuwa najiuliza - sina helaa (ndo nimetoka chuo) iweje dem mzuri hivi hasiwe na mpenzi / mume?
 
kujihakikishia usalama wenu, pimeni kabla ya kila tendo la kungonoka....but kwa vile this is not feasible, tukubali matokeo kwamba there is always a chance kwamba mtu anaweza kuvaa mkenge...

Mnaogang'ania mambo ya kupima nawashangaa. Hamjui passion of love! Kama dem umempenda naye aka-respond (achana tamaa za haraka haraka) naongelea kupenda kweli, - basi
 
Inaelekea unapenda hip hop,sema bas ulikua unasikiliza wimbo gan wa 2pac omar shakur uliokupa mzuka wa kumzukia huyo manzi na sisi tujikumbushe kidogo.
 
Inaelekea unapenda hip hop,sema bas ulikua unasikiliza wimbo gan wa 2pac omar shakur uliokupa mzuka wa kumzukia huyo manzi na sisi tujikumbushe kidogo.

Nilikuwa nasikiliza All eyez on me, Dear Mama! n.k Napenda miziki yote ila zaidi ni Reggae music.
 
Back
Top Bottom