Namna ya Kumshukuru Mfadhili (How to Thank Your Supporter)

Joined
Feb 5, 2022
Posts
38
Reaction score
60
16-actions-for-shifting-culture-to-support-black-employees.jpg

Uhai wa Taasisi yoyote isiyo ya faida (not-for-profit organization) unategemea watu ambao watakuwa na jukumu la kuisaidia Taasisi husika katika kutimiza malengo yake. Watu hawa kitaalamu tunawaita wafadhili. Kiutaratibu mfadhili anapochangia Taasisi hata kama mchango wake una thamani ya Shilingi 1,000, anatakiwa ashukuriwe haraka kwa kuandikiwa barua ya shukurani (thank you letter)
Uzoefu unaonyesha kwamba barua hii ya shukurani inapaswa imfikie mfadhili husika ndani ya saa 24. Kinyume baada ya kuwa ametoa msaada wake, tofauti na hivyo unaweza kumkatisha tamaa katika kuichangia Taasisi yako.

Barua yako ya shukurani kwa mfadhili inapaswa iafanye yafuatayo;
  • Imuonyeshe mfadhili kwamba msaada wake una thamani kubwa kwako.
  • Imuonyeshe mfadhili namna ambavyo msaada wake umeleta/utaleta mabadiliko kwa jamii au eneo unalolihudumia
Uandaaji wa hizi barua si lazima uwe rasmi sana (hapa itategemea na aina ya mfadhili, mahusiano na kiasi cha ufadhili) lakini la kuzingatia; hakikisha barua inakuwa na mvuto na unyenyekevu (it should be written in down-to-earth voice) na ni vizuri ikiambatana na kadi.
Ili kuifanya barua yako ya shukurani kwa mfadhili kuwa bora, hakikisha unajumuisha taarifa zifuatazo;
  • Jina la Taasisi yako
  • Kiasi cha pesa kilichotolewa na mfadhili husika
  • Jina/majina ya watu waliofaidika/watakaofaidika na msaada wa mfadhili
  • Taarifa ya utekelezaji wa mradi kwa wakati huo.
Ili barua hii iwe na uzito, ni vyema ikaandaliwa na mtu mwenye ushawishi ndani ya Taasisi, kwa mfano Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Taasisi au Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi.
Zingatia kwamba "Happy donors are always reliable donors"

Ahsante

OMAR MSONGA (BA. PPM &CD)
CONSULTANT
Project Management, Strategy, Fundraising & Training
Call: +255 719 518 367
Email: omarmsonga8@gmail.com
DAR ES SALAAM
TANZANIA
 
Nitak

Utafuta bosi tufanye kazi
 
Back
Top Bottom