Namna ya kumtofautisha Mkaka/Mdada wa Dar na wa Mkoani!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,793
Tulipokuwa mikoani miaka ile michezo ya utotoni tuliyokuwa tunacheza ilihusisha kujisugua ngozi ya kwenye mkono kwa nguvu, baada ya mda ngozi ilianza kutoa harufu kama ya mavi ya kuku. Ila miaka kumi baadaye (tangu nije Dar) baada ya kujaribu kujisugua, ile harufu ya mavi ya kuku imeshapotea...

Kwa hiyo haka ka utafiti kameniwezesha kufikia muafaka kuwa ukitaka kumtofautisha mkaka na mdada wa mkoani, we jaribu kusugua ngozi ya mwili wake. Inaweza kuwa mkononi, pajani au kwenye mgongo. Ukisikia kale ka harufu ka mavi ya kuku, hapo ujue huyo sio mwanaume/ mwanamke wa Dar. Huyo atakuwa ni wa mkoani, na kama mmekutana hapa Dar, basi ujue huyo ni wakuja a.k.a kuku mgeni...
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] twaweza mmekua wengi sikuhz
Utafiti hovyooo huo
 
Tulipokuwa mikoani miaka ile michezo ya utotoni tuliyokuwa tunacheza ilihusisha kujisugua ngozi ya kwenye mkono kwa nguvu, baada ya mda ngozi ilianza kutoa harufu kama ya mavi ya kuku. Ila miaka kumi baadaye (tangu nije Dar) baada ya kujaribu kujisugua, ile harufu ya mavi ya kuku imeshapotea...

Kwa hiyo haka ka utafiti kameniwezesha kufikia muafaka kuwa ukitaka kumtofautisha mkaka na mdada wa mkoani, we jaribu kusugua ngozi ya mwili wake. Inaweza kuwa mkononi, pajani au kwenye mgongo. Ukisikia kale ka harufu ka mavi ya kuku, hapo ujue huyo sio mwanaume/ mwanamke wa Dar. Huyo atakuwa ni wa mkoani, na kama mmekutana hapa Dar, basi ujue huyo ni wakuja a.k.a kuku mgeni...

Ngoja waje
 
Back
Top Bottom