Namna ya kumwezesha Mwanao kuwa makini katika utendaji wake

Namna ya kumwezesha Mwanao kuwa makini katika utendaji wake

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Jaribu kutengenezea mazingira yenye utulivu ili aweze kuzingatia kazi aliyopewa. Televisheni, Muziki, Kelele na Simu za rununu ni vizuizi vikubwa kwa Mtoto kuwa makini. Unapoona wanasoma au ni vema TV na Simu zikawa mbali nao au kuzimwa kabisa.

Mtafutie michezo itakayomsaidia kuboresha kiwango chake cha umakini. Michezo kama Puzzles za aina mbalimbali husaidia sana kuchamsha Ubongo wa Mtoto.

Tafiti zinaonyesha Vifaa vya Kieletroniki vinapunguza muda wa umakini na nguvu ya kumbukumbu ya Watoto.


82033723.cms
 
Back
Top Bottom