Mr salim karatta New Member Joined Mar 16, 2023 Posts 3 Reaction score 0 Apr 13, 2023 #1 Habari, naomba kujifunza namna ya kuomba tender zinazo tangazwa na ukurasa wa Zabuni.
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Apr 13, 2023 #2 Mr salim karatta said: Habari, naomba kujifunza namna ya kuomba tender zinazo tangazwa na ukurasa wa Zabuni. Click to expand... Maelezo yako siyo timilifu, kama una kampuni na unataka tender za serikali kajisajiri kwanza GPSA.
Mr salim karatta said: Habari, naomba kujifunza namna ya kuomba tender zinazo tangazwa na ukurasa wa Zabuni. Click to expand... Maelezo yako siyo timilifu, kama una kampuni na unataka tender za serikali kajisajiri kwanza GPSA.
Mr salim karatta New Member Joined Mar 16, 2023 Posts 3 Reaction score 0 Apr 13, 2023 Thread starter #3 Utaratibu wa kujisajili na GPSA upoje?
Sumu Boy JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 206 Reaction score 217 Apr 20, 2023 #4 Mr salim karatta said: Habari, naomba kujifunza namna ya kuomba tender zinazo tangazwa na ukurasa wa Zabuni. Click to expand... Rahisi mno niuze kazi twende sawa mkuu
Mr salim karatta said: Habari, naomba kujifunza namna ya kuomba tender zinazo tangazwa na ukurasa wa Zabuni. Click to expand... Rahisi mno niuze kazi twende sawa mkuu