Namna ya kuondoa harufu mbaya mdomoni kwa kutumia baking soda - Tofauti

Namna ya kuondoa harufu mbaya mdomoni kwa kutumia baking soda - Tofauti

Tofauty

Member
Joined
Sep 12, 2016
Posts
25
Reaction score
16
Ni kwamba nina imani kwamba watu wengi wanaifaham Baking soda vizuri na nimekuta huku huku JF wakielezea matumizi ya baking Soda inavyosatumika kama vile kusafishia masinki ya vyoo, na pia kuondolea harufu kwenye friji, kwenye nyama na hata nguo mpya

Lakini cha zaidi ambacho mimi ninataka kuwahabarisha ni jinsi ambavyo baking soda inaweza kuondoa harufu mbaya mdomoni, maana katika jambo linalowasumbua watu ni hilo hapo na unakosa amani kabisa.

Mimi naona tu niwaambie kwamba baking soda inatumika kutoa harufu mbaya mdomoni na kuna njia tatu za kuitumia ili uondoe harufu mdomoni

1. Ni kwamba unatakiwa utumie baking soda na kwa kuchanganya na maji (unaweza tumia maji ya baridi au ya moto ila ya moto ni mazuri zaidi)

2. Ni kuitumia kwa kuiweka kwenye mswaki na kuswaki nayo kama vile dawa ya meno

3. kuchanganya na maji ya malimao na kuswaki.
 
Unaitumiaje kutibu UTI mwaga shule hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Unachukua chupa ndogo ya maji ya ml 500 unachanganya na nusu kijiko cha unga wa baking soda unakunywa kutwa mara 3.. Asubuh unakunywa chupa moja mchana chupa moja na usiku chupa moja... Fanya ivo ndan ya wiki moja lazima upone UTI hata iwe sugu vip
 
Harufu ya kinywa inatibu vp mkuu maana kinywa ndo shida kikishinda muda bila kutia chochote?
 
Unachukua chupa ndogo ya maji ya ml 500 unachanganya na nusu kijiko cha unga wa baking soda unakunywa kutwa mara 3.. Asubuh unakunywa chupa moja mchana chupa moja na usiku chupa moja... Fanya ivo ndan ya wiki moja lazima upone UTI hata iwe sugu vip
Mkuu hicho kijiko ni cha chakula au chai?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom