PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
Ahahaaa lazima unywe ili iende kwenye kibofu cha mkojo ikapambane na bacteria wa UTIOk mkuu mi nilijua Ni kusukutua kumbe Hadi kumeza ruksa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaaa lazima unywe ili iende kwenye kibofu cha mkojo ikapambane na bacteria wa UTIOk mkuu mi nilijua Ni kusukutua kumbe Hadi kumeza ruksa
nishaelewa kinachokuchanganya, ni kwamba mimi nimepost kuhusu kuondoa harufu ya mdomo, na kuna mtu akareply kuhusu kutibu UTI. nnachotaka uelewe ni kwamba kwenye kutibu UTI ndo unatakiwa umeze lakini kwa harufu ya mdomo unaswakia tuOk mkuu mi nilijua Ni kusukutua kumbe Hadi kumeza ruksa
Kwani bado hujapona?!?Ntarudi
unatutukana mkuu!
Na VIP kuhusu kung'alisha meno mkuu unanishaulije???
Angalia tuuu.Na VIP kuhusu kung'alisha meno mkuu unanishaulije???
Somo murua kabisaNi kwamba nina imani kwamba watu wengi wanaifaham Baking soda vizuri na nimekuta huku huku JF wakielezea matumizi ya baking Soda inavyosatumika kama vile kusafishia masinki ya vyoo, na pia kuondolea harufu kwenye friji, kwenye nyama na hata nguo mpya
Lakini cha zaidi ambacho mimi ninataka kuwahabarisha ni jinsi ambavyo baking soda inaweza kuondoa harufu mbaya mdomoni, maana katika jambo linalowasumbua watu ni hilo hapo na unakosa amani kabisa.
Mimi naona tu niwaambie kwamba baking soda inatumika kutoa harufu mbaya mdomoni na kuna njia tatu za kuitumia ili uondoe harufu mdomoni
1. Ni kwamba unatakiwa utumie baking soda na kwa kuchanganya na maji (unaweza tumia maji ya baridi au ya moto ila ya moto ni mazuri zaidi)
2. Ni kuitumia kwa kuiweka kwenye mswaki na kuswaki nayo kama vile dawa ya meno
3. kuchanganya na maji ya malimao na kuswaki.