health
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 325
- 39
Hello Mwanajamii,
Bila shaka uu mzima na unaendelea vema na kazi zako za kila siku pia mimi nashukuru kuwa ni mzima na buheri wa afya. Leo napenda kuwashirikisha kuhusu namna mtu anavyoweza kuondokana na tatizo la kusumbuliwa na maumivu katika joints. Ni dhahiri kuwa watu wengi husumbuliwa na hilo tatizo hasa wale wanaokuwa na umri mkubwa pia wenye uzito mkubwa na hukosa namna nzuri ya kuweza kuepukana nalo. Hiyo husababishwa na kupungua kwa majimaji(ute) uliopo kaktika joints na baadaye joints hugusana na kusababisha maumivu.
Napenda kuwajulisha kuwa pamoja na kuzingatia kula vyema kama ilivyo kawaida kuna lishe maalum iliyoandaliwa kiasilia na isiyokuwa na madhara yoyote mwilini. Hiyo lishe imethibitishwa kutumika duniani kote na hapa Tanzania imethibitishwa na mamlaka ya chakula na dawa.Ningependa kuwashirikisha wote kwa ajili ya kuweza kuwasaidia na wengine wenye shida ili waishi maisha yenye afya njema na furaha. Hapo chini maelezo kuhusu lishe yenyewe yanapatikana
CA + FE + ZI PLUS
FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA
FAIDA ZA MADINI CHUMA
FAIDA ZA MADINI YA ZINKI
Kwa yeyote anayehitaji maelezo au swali lolote kuhusiana na lishe husika pia mwenye kutaka ushauri anaweza kuniandikia kupitia email yangu ishealthy@hotmail.com pia simu 0776491294.
Gharama ya CA+FE+ZI Plus ni Tsh.51000/- tu
Kwa wale ambao wanahitaji kupata ushuhuda kwa wale waliokwishatumia wanaweza kufuata link hii hapa Testimony-CA+FE+ZI

- CA Madini ya Chokaa
- FE Madini ya Chuma
- ZI Madini ya Zinki
FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA
- 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
- Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
- Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
- Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
- Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha
FAIDA ZA MADINI CHUMA
- Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
- Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
- Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
- Huongeza nguvu mwilini
FAIDA ZA MADINI YA ZINKI
- Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
- Inaimarisha milango ya fahamu
- Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
- Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
- Inaondoa matatizo ya macho.