Namna ya kuongeza mbegu/manii kwa wanaume

Mwanaume ukijiwekea mfumo wa kila siku kupata vyakula vya asili,matunda mchanganyiko,kunywa maji mengi na kufanya mazoezi unakuwa umemaliza kazi mimi wanawake wote nilio wadonoa baada ya mchezo huwa wananiuliza hivi umetoka kifungoni maana dahawa huwa namna Hii[emoji116]
 
Matunda ,Maharage,mayai has a kiini,mboga mboga.Katanga,mihogo,korosho sio kweli wewe sio daktari.ulivyo visema inaongeza mafuta na wanga.Proteins kukinga,kurutubisha na kuzalisha
 
Ehee mungu naomba mueke mbali mke wangu na huyu mgegedaji sio mtu mzuri
 
Kama hujataja mbegu za maboga, wewe lazima utakua muongo tu
 
[Karanga mbichi robo, mayai ya kuku wa kienyeji mawili, tende robo kilo unamenya na mkono nyama zake zile za tende mbegu zake unatupa, karanga unaziosha vizuri, unavunjia mayai yako mawili, mule kwenye mchanganyiko wa karanga na tende, maziwa yako ya tanga fresh pakiti moja, unasaga na blenda zile karanga mayai ya kuku wa kienyeji na tende, angalizo usizimue na maji, ukimaliza kuisaga na blenda unachukua grass moja unakunywa kutwa mara mbili asubuhi na usiku, inakuwa ndio juice yako kwa muda wa siku tatu, utakuja hapa kuniambia wakuu.
 
Da wew ni noma
 
Aiseeee bao la korosho linakuwa zitooo sana alafu la motooooo...
Wewe jinsia gani mkuu,unaweza ukawa unadai ni la moto huku wewe ni me.Wanaojua ubaridi au umoto ni ke otherwise umenichanganya mkuu.
Sasa kama naambiwa "baby la leo la motooo" ulitaka nisijue...
Daaaah ushatuvuruga tayari mkuu maelezo yako ya kwanza yametupeleka zaidi ya mbali.
Ni haki yako kufika huko mbali..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…