Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Ila ukiambiwa mafuta ya upako na mwamposa unaamini ila akitokea mtu akwambie ununue mafuta ya mzeituni kwa matumizi hayo hayo utakataa.Duniani kuna mambo 🙆♀️
Elimu ya bure.Mbona haraka hivi
Sijaingia humu muda
Kumbe tayari umeshakuwa mganga
Elimu ya bure, nimejitolea kuwapa.Weka humu 🗑️
Dr Taz Genius.Huu ni mchanganyiko mwepesi hata wewe unaweza ukafanya na ukaona mabadiriko.
Chukua karafuu, mchele kidogo punje kadhaa changanya na sarafu ya 500 ili uweze kuongeza mvuto wa kibiashara, kuongeza thamani yako na kuongeza kioato chako.
Njia ya kwanza, chukua karafuu , changanya na mchele kidogo na shilingi 500 kisha loweka kwenye maji usiku kucha , kesho yake tumia hayo maji kujisafishia kisha nenda kwenye shughuli zako za utafutaji utaona neema utakayoipata siku hiyo.
Njia ya pili changanya karafuu, mchele na 500 kisha weka kwenye chombo safi kwenye biashara yako itakusaidia kuvutia wateja .
Njia hizi pia hata kama ulikuwa na mpenzi yupo mbali utaweza kumvuta kwa njia hii.
Chukua elimu .Mida yenu hii waganga, ushatoka TikTok umekuja na huku..!!
Kwa hiyo mpaka kitu afanye mzanzibari ndio ukiamini?Hz karafuu mbona wazanzibar wangeuziana wao kwa wao na zingekuwa adimu
Ghafla sana bwashee.🤣🤣Mbona haraka hivi
Sijaingia humu muda
Kumbe tayari umeshakuwa mganga
Huna unalolijua bwana mdogo.Ndugu mtazamaji linda akili yako maana pameshaanza kuchangamka
Upuuzi mwingine kama kilimo cha matikiti,Huu ni mchanganyiko mwepesi hata wewe unaweza ukafanya na ukaona mabadiriko.