Namna ya kuongeza mvuto na kipato kwa kutumia karafuu, mchele na sarafu ya 500

Mambo haya yawe na tahadhari
Mwanaume anatumia ili aongeze mvuto wa biashara, kazi na kupendwa na wanawake au jamii
Matokeo yakawa tofauti, unashangaa mwanaume anaanza kutongozwa na wanaume wenzake kisa mvuto wake

Dunia imeharibika
 
Acha ushirikina!!!
 
Mkuu kumbe na wewe ni mshirikina? πŸ€”
 
Shukrani mkuu kwa andiko hili. Nitafanyia Kazi. Binafsi yangu Nina Imani katika asili, na Dunia ipo very spiritual. Ukijua kutumia vizuri asili ( nature) na spiritual una nafasi kubwa ya kufanikiwa. Rejea wenzetu wa Asia, hususan wahindi.
 
Mambo haya yawe na tahadhari
Mwanaume anatumia ili aongeze mvuto wa biashara, kazi na kupendwa na wanawake au jamii
Matokeo yakawa tofauti, unashangaa mwanaume anaanza kutongozwa na wanaume wenzake kisa mvuto wake

Dunia imeharibika
Nimecheka sana na hii comment YBWYB
 
Shukrani mkuu kwa andiko hili. Nitafanyia Kazi. Binafsi yangu Nina Imani katika asili, na Dunia ipo very spiritual. Ukijua kutumia vizuri asili ( nature) na spiritual una nafasi kubwa ya kufanikiwa. Rejea wenzetu wa Asia, hususan wahindi.
Karibu
 
Chai β˜•οΈ
 
Ni Kupungukiwa Akili Sana
Ni Upuuzi Mtupu βš’οΈπŸ”¨
 
Upuuzi mwingine kama kilimo cha matikiti,
Uongeze mvuto, ili iweje!? Uwe na akili, kama Diamond, GSM, bakheresa, bill gates, au uvutie kingono?
πŸ“ŒπŸ“πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ€£πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…