Namna ya kuota ndevu haraka

Namna ya kuota ndevu haraka

Ukihitaji sayansi yakubidi urudi kwenye hormone zako cheza nazo hizo au genes za ukoo wenu zikoje babu na babu mkuu wote walikuwa na videvu laini wewe unataka uoake kimiminika fulani uote ndevu? How is that possible genetically?
Mkuu familia yetu wote wanazo kuanzia babu, wajomba hadi mzee wangu pia anazo ..

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu msaada ni home remedies gani naweza tumia ili kuota ndevu haraka. Mwenye kujua anisaidie please.
Unene au wembamba hiyo ni juhudi zako binafsi lakini
Urefu au ufupi,
Kuota ndevu au kitokuota ndevu
hiyo ni kazi ya Uumbaji wa Mungu
Ukijaribu kuboresha mwenyewe unajitafutia shida ..
Kaa ulivyo
 
Wakuu msaada ni home remedies gani naweza tumia ili kuota ndevu haraka. Mwenye kujua anisaidie please.
Watu tumechoka kunyoa ndevu wengine mnazitaka??
Zikija unaweza kuzichukia,

let nature take its course
 
acha ujinga jikubali.

unaweza ukapewa dawa ya kupaka ukapata kansa ya kidevu ngozi ikaoza ukafa. hapo umepata faida gani?
Mungu kakuumba hivyo usipende kujitakia yasiyo ya kwako. ndevu zitakuja tu wewe tafuta pesa.. kama unatak heshima tafuta pesa hizo ndevu hazina heshima zaidi ya mpunga
Sijaomba Mahubiri mkuu ..

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
sawa mheshimiwa mjuaji
Wewe ndo unaleta ujuaji sababu nimeuliza home remedies nikimaanisha labda aina gani ya vyakula napaswa kula, labda spices gani napasa kuongezea kwenye chakula au kunywa maji kwa wingi ila wewe unakuja na upuuzi wako wa kemikali, huoni kama wewe ndo mjuaji hapo ? ..

matusi ya nini tena babu kuitana wapuuzi. anyway sawa baki na thread yako.
 
Back
Top Bottom