Namna ya kuota ndevu haraka

Wakuu msaada ni home remedies gani naweza tumia ili kuota ndevu haraka. Mwenye kujua anisaidie please.
Sisi zinatusumbua kwa sababu za masharti kutokuwa nazo wewe unazitaka..
Daa kweli kila mtu ana anachopenda.
Nikikumbuka zamani tulikuwa tunapaka majani ya viazi vikuu ili ziote leo hii zinatutokea puani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…