Namna ya kupanga uzazi kwa njia ya calender msaada

jamii01

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,983
Reaction score
1,423
Naomba msaada namna ya kupanga uzazi kwa my wife wangu kwa njia ya calender maana sina mpango kumpa uzauzito kwa miezi ya hivi karibuni mpaka miezi 7 ipite tuenjoy ndoa yetu kwanza,nasipendi atumie njia nyingine ya uzazi maana wanadai wakati mwingine ujauzito unachelewa.

Mwenye elimu hiyo tafadhari msaada.
 
kuanzia siku ya 10,11,13,(14),15,16,17 hizi ni siku hatari..unahesabu kuanzia siku ambayo anabreed siku ya kumi na 4 ndo yenyewe,siku nyingine kanyaga twende,ila upo uzii huna hii mada
 
Kuna tofauti gani kati ya UNA na HUNA.

kuanzia siku ya 10,11,13,(14),15,16,17 hizi ni siku hatari..unahesabu kuanzia siku ambayo anabreed siku ya kumi na 4 ndo yenyewe,siku nyingine kanyaga twende,ila upo uzii huna hii mada
 
Mzunguko wake ni wa siku ngapi?
Calenda ni ngumu sana na ni rahisi kwa mwanamke mwenye mzunguko wa 28 days na tena isiwe inabadilika badilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…