jamii01
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,983
- 1,423
Naomba msaada namna ya kupanga uzazi kwa my wife wangu kwa njia ya calender maana sina mpango kumpa uzauzito kwa miezi ya hivi karibuni mpaka miezi 7 ipite tuenjoy ndoa yetu kwanza,nasipendi atumie njia nyingine ya uzazi maana wanadai wakati mwingine ujauzito unachelewa.
Mwenye elimu hiyo tafadhari msaada.
Mwenye elimu hiyo tafadhari msaada.