luhuwa john
Member
- Jun 6, 2011
- 17
- 1
Wadau habari zenu. Naomba mnipe procedures za kuingiza channel za africa magharibi na drc congo kwa yetote anayefahamu. Channel za kawaida azam hakuna hata moja inayoonyesha afcon kwa sasa. Msaada plz wadau. Zile channel mara ya kwanza ulitolewa muongozo hapa namna ya kuingiza lakini azam wakazitoa lakini kwa sasa nasikia unaweza kuingiza tena ila mimi nimesahau zile procedures. Tukumbushane wadau.