Namna ya kupata channel zinazoonyesha AFCON kwenye king'amuzi cha AZAM

luhuwa john

Member
Joined
Jun 6, 2011
Posts
17
Reaction score
1
Wadau habari zenu. Naomba mnipe procedures za kuingiza channel za africa magharibi na drc congo kwa yetote anayefahamu. Channel za kawaida azam hakuna hata moja inayoonyesha afcon kwa sasa. Msaada plz wadau. Zile channel mara ya kwanza ulitolewa muongozo hapa namna ya kuingiza lakini azam wakazitoa lakini kwa sasa nasikia unaweza kuingiza tena ila mimi nimesahau zile procedures. Tukumbushane wadau.
 
Mimi nasikiliza katika Ki radio changu 277,ngoja tuwasubili wenye Azam TV wakete maujuzi..
 
Jaribu kufuatilia ule uzi wa AFCON uko strict hapa hapa jamvini, kuna wadau wametoa mbili zote unaweza na wewe ukajipakulia ujanja huo.
 
Tafuta mtaalam akuskanie zile Chanel zilizokuwa kwenye Kingamuzi cha GTV. Huko utapata RTS na utajionean Afcon Live.
 
Wadau habari zenu. Naomba mnipe procedures za kuingiza channel za africa magharibi na drc congo kwa yetote anayefahamu. Channel za kawaida azam hakuna hata moja inayoonyesha afcon kwa sasa. Msaada plz wadau. Zile channel mara ya kwanza ulitolewa muongozo hapa namna ya kuingiza lakini azam wakazitoa lakini kwa sasa nasikia unaweza kuingiza tena ila mimi nimesahau zile procedures. Tukumbushane wadau.

sijui kama bado una tatizo. Lakini washa kin'gamuzi, kisha wakati ukiwa kwenye channel yoyote ya kawaida, bonyeza kitufe cha OK. Ukibonyeza OK kingamuzi kinaweka orodha ya channels. Sasa bonyeza mshale unaoonyesha kushoto (huo huo umeandikwa vol-huku ukielekea kushoto), kwanza utaona orodha ya channel za REDIO. Bonyeza tena vol (kuelekea kushoto). Utaona menu ya OTHER CHANNELS.

Ukishaingia kwenye other channels sasa shuka hadi CRTV (Cameroon TV), hapo AFCON ni kama kumsukuma Mlevi
 
!
!
muongo.
 
acha uongo
 
!
!
ahsante, ila we muongo sana. Nimesoma ninejaribu hakuna kitu kama hicho, eti other chanels. Ulijua kiazam unacho peke yako nini?

Acha uvivu, yaelekea unabonyeza OK kisha unakaa muda mrefu. Hebusasa Bonyeza OK kisha (ukiwa kwenye channel yoyote) kisha bonyeza kitufe cha volume (sasa jaribisha kitufe cha kulia) kisha niambie unaona pameandikwa nini (Other TV Channels!!!! ) acha kupanic
 
braza niliposoma tu komenti yako nikashuka kitandani nikajaribu kama ulivyoelekeza ndio maana nikarudi na mrejesho kuwa labda kuna hiazam tofauti ila kwa kama hiki nilichonacho hicho kitu hakipo
 
kwa kweli aina ya ving'amuzi ila cha kwangu nilifungiwa kama mwezi sasa na huyu fundiye alinielekeza jinsi ya kua-access hizo Other Channels kwa kubonyeza OK kisha ukabonyeza kitufe cha vol (kulia au kushoto), ukianza na kushoto utapita Radio Channels kisha Other Channels, ukibonyeza vol kulia unaingia moja kwa moja kwenye other channels.
 
basi changu ni cha zamani
 
!
!
basi changu ni cha zamani

kama una jamaa wa azam karibu hebu muite akupe TAF, huenda sio kibaya kama unavyohisi. Nilichonacho ni kama hiki

IMG_6929.JPG

kwani kuna aina tofauti?
 
Hizo other channel haziji automatically ila mpaka uziingize,sasa wengine wanafikiri ukifuata hayo maelekezo wanazipata tu.

Ohhh i get it. Inawezekana unachosema ndicho alifanya fundi kwa vile wakati anafanya installation sikuwapo. Ila alinipigia simu na kunielekeza jinsi ya kuzi-access, lakini basi ina maana kila mwenye access na fundi jambo hili ni jepesi
 
Wadau habari zenu. Naomba mnipe procedures za kuingiza channel za africa magharibi na drc congo kwa yetote anayefahamu. Channel za kawaida azam hakuna hata moja inayoonyesha afcon kwa sasa. Msaada plz wadau. Zile channel mara ya kwanza ulitolewa muongozo hapa namna ya kuingiza lakini azam wakazitoa lakini kwa sasa nasikia unaweza kuingiza tena ila mimi nimesahau zile procedures. Tukumbushane wadau.
Kama vipi ni-PM mkuu nikupe maujanja.
 
Ki Ukweli Ni Procedure Ndefu Kidogo, Ila Kwa Kukusaidia Tafuta Fundi Aliye Karibu Nawe Anayejua "Ku-add Satellite'" Halafu Mwambie Aingize Freguence Hizi: 12728H30000, Hapo Utapata Chanel Zaidi Ya 5 Ikiwemo Ya CRTV Ambayo Inaonesha Afcon.
 
Back
Top Bottom