Namna ya kupata fridge za TBL

Namna ya kupata fridge za TBL

Eddy Elphazi

Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
8
Reaction score
9
Kama kuna mtu anajua procedures za kufuata ili kupewa fridge za bia kama Safari n.k na TBL naomba anijuze tafadhari?
 
Bar yako iko wapi, ila ni vyema uulize bar za jirani na mtu gani wa masoko toka tbl anawatembelea fanya nae mawasiliano atafika kuona bar iyo mpya na atakufanyie process zote za kupata fridge.

Kikubwa tii matumizi sahihi ya fridge
 
Kama kuna mtu anajua procedures za kufuata ili kupewa fridge za bia kama Safari n.k na TBL naomba anijuze tafadhari?
Ni rahisi kama kumeza Hennessey.
Nenda kwenye depot yoyote ya TBL ongea na hao wauzaji wakufanyie mpango unapata chap kwa haraka! Wape kitu kidogo hili muhimu sana

Zingatia usiende kwenye vi-depot vya binafsi.
 
Back
Top Bottom