Bar yako iko wapi, ila ni vyema uulize bar za jirani na mtu gani wa masoko toka tbl anawatembelea fanya nae mawasiliano atafika kuona bar iyo mpya na atakufanyie process zote za kupata fridge.
Ni rahisi kama kumeza Hennessey.
Nenda kwenye depot yoyote ya TBL ongea na hao wauzaji wakufanyie mpango unapata chap kwa haraka! Wape kitu kidogo hili muhimu sana