Mimi sifanyi biashara ila Nina miaka miwili mfululizo huwa namuombea vibali baba yangu mdogo- unatakiwa uwe na
Leseni ya BRELA tsh 300000
TIN ya mlipa kodi TRA na
Uingie katika tovuti ya kilimo utengengeneze username na password , omba vibali kwa kufata maelekezo ndani ya siku 3 za kazi utapata kibali/vibali , una download unaendelea na yako

Uliza hapa hapa kaka , nitakujibu tuUmeeleweka mkuu, Naomba muongozo zaidi 0655623112, asante