SolarPower
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 223
- 27
Kam hivi 8x8.3x(3/8.3)=24?
Kam hivi 8x8.3x(3/8.3)=24?
Kam hivi 8x8.3x(3/8.3)=24?
ha sasa angalia original post mbona umeweka 8.3??? ok check below
(√8×√8)×(√3×√3)=24
(8/(3-(8/3))=24)
Another solution if you can use square roots (the sign V```
square root (8x8) x square root (3x3) = 8 x 3 = 24
Mwe watu wanaakili humu jf balaa..
Sawa. Lakini ungenitendea 'haki' zaidi kama unge acknowledge kwanza kuwa umebadilisha namba kwenye post yako! na hivyo kulifanya jibu langu kuwa halifai tena! Mwanzo (tarehe 10 Sept) 8.3 ilikuwa ni mojawapo ya namba ulizoziorozesha!Mkuu SMU,
Nakushukuru sana kwa creativity yako na kwa jitihada zako. Ila kuna kasoro kidogo kwenye njia yako na jinsi ulivyozitumia hizo namba.
1. Namba tulizopewa ni 8, 8, 3 na 3 tu na si 8, 8. 8, 3, 3, na 3.
2. Pia hatujapewa namba yenye nukta kama vile 8.3
Naomba wakuu muendelee kufumbua hii puzzle. Kwa taarifa tu, njia ziko zaidi ya 4 za kupata namba 24 kwa kutumia namba 8, 8, 3 na 3.
Kazi kwenu mabingwa.
Sawa. Lakini ungenitendea 'haki' zaidi kama unge acknowledge kwanza kuwa umebadilisha namba kwenye post yako! na hivyo kulifanya jibu langu kuwa halifai tena! Mwanzo (tarehe 10 Sept) 8.3 ilikuwa ni mojawapo ya namba ulizoziorozesha!